Maelezo ya Chini
a Tofauti inayokaribia kulingana na hiyo ipo kati ya mji wa Babuloni, ambamo Wayahudi walitoka wakakimbia mwaka 537 K.W.K., na Babuloni Mkuu wa kisasa, ambamo Wakristo wanatoka na kukimbia leo.—Isaya 52:11; Yeremia 51:45; Ufunuo 18:4.