Maelezo ya Chini
a Jambo la kupendeza ni kwamba, kichapo Oxford NIV Scofield Study Bible (1984) kinatoa maelezo haya juu ya Luka 21:24: “‘Majira ya Mataifa’ yalianza Nebukadreza alipoteka Yuda (2 Nya. 36:1-21). Tangu wakati huo Yerusalemu ‘umekanyagwa na Mataifa’ kama vile Kristo alivyosema.