Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kulingana na imani rasmi ya Kikatoliki, dhambi inahusu hatia na aina mbili za adhabu​—ya milele na ya muda. Hatia na adhabu ya milele inafanyiwa malipo kupitia sakramenti ya kitubio. Ni lazima adhabu ya muda ifanyiwe fidia katika maisha ya sasa kwa kutenda mambo mema na kufanya mazoea ya kujiadhibu, au katika maisha yanayofuata katika moto wa purgatori. Rehema ya dhambi ni ondoleo nusu au kamili la adhabu ya muda, nalo linafanywa kwa kuutumia ustahili wa Kristo, Mariamu, na “watakatifu.” Ustahili huo unakuwa umewekwa akibani katika “Sanduku la Hazina ya Kanisa.” “Matendo mema” yanayopasa kufanywa ili mtu apate rehema ya dhambi yanaweza kuwa ni pamoja na kutembelea mahali patakatifu au kuchanga pesa za kusudi fulani lililo “jema.” Kwa njia hiyo, nyakati zilizopita pesa zilikuwa zikichangwa kwa ajili ya vile Vita Vitakatifu na kwa ajili ya kujenga makathedro, makanisa, na hospitali.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki