Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Lutheri alitokeza shaka pia juu ya kama barua ya Yakobo ni sehemu ya Maandiko Matakatifu, akiwa na fikira ya kwamba njia inayotumiwa na Yakobo kueleza mambo katika sura ya 2, yaani, imani isiyo na matendo imekufa, inapingana na maelezo ya mtume Paulo juu ya kuhesabiwa haki “pasipo matendo.” (Warumi 4:6) Alishindwa kutambua kwamba Paulo alikuwa akisema juu ya matendo ya Torati ya Kiyahudi.​—Warumi 3:19, 20, 28.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki