Maelezo ya Chini
c Wakati mkutano wa maafisa wa kanisa ulipofanywa karne ya 18 ukajaribu kutangaza limbo kuwa “hadithi ya Kipelagia,” Papa Pius wa 6 alisambaza agizo rasmi la makao ya papa akiulaani mkutano huo kuwa wa kutokeza uzishi. Ingawa halikukubaliana na limbo kwa ukamili, agizo rasmi la papa liliachilia nadharia hiyo iendelee kuwapo.