Maelezo ya Chini
d Tad Guzie mwanatheolojia Mkatoliki aliuita msimamo mpya wa kanisa kuwa ni “mawazo yasiyo ya utimamu yanayohusu sakramenti ambayo kubatizwa katika maji ndiyo hatua ya kwanza ya wokovu iliyo muhimu kwa vitoto vichanga, lakini ikiwa pia ndiyo hatua ya mwisho ya mwendo mrefu zaidi kwa mtu mwingineye yote.”