Maelezo ya Chini
a Mitajo hii imetokana na kitabu The Experts Speak (Wataalamu Wasema), kilichotungwa na Christopher Cerf na Victor Navasky.
“Ili tuanze kujaribu kuelewa jinsi maisha yatakavyokuwa mwaka 1960, ni lazima tuanze kwa kutambua kwamba chakula, mavazi na makao yatakuwa na bei ya chini kama vile hewa.”—John Langdon-Davies, Mwingereza aliye mwandikaji wa habari za jarida na Mshiriki wa Royal Anthropological Institute, 1936.
“Huu ndio upumbavu mkubwa zaidi ambao tumepata kuufanya.. . . Kombora halitakoma kamwe, nami naongea kama mtaalamu wa vitu vilipukavyo.”—Admeri William Leahy, akimshauri Rais Harry Truman wa U.S. juu ya mpango wa U.S. wa kombora la atomi, mwaka 1945.
[Credit Line]
U.S. National Archives