Maelezo ya Chini
a “Mtajo wa cheo ho theos [Mungu mwenyewe, au Mungu], ambao sasa unamaanisha Baba akiwa mtu wa kweli, hautimiwi katika A[ganoj J[ipya] kuhusu Yesu Mwenyewe; Yesu ndiye Mwana wa Mungu (wa ho theos). . . . Yn 1:1 linapasa kwa uthabiti litafsiriwe ‘yule I neno alikuwa pamoja na Mungu [= yule Baba], neno alikuwa mtu wa kimungu.’”—Dictionary of the Bible (1965), cha John L. McKenzie, S. J.