Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Jambo la kupendeza ni kwamba, wasomaji fulani walikatishwa tamaa hapo kwanza na muundo wa jalada la The Golden Age. Kwao ulionekana kuwa wa kikawaida mno. Kwa kujibu, ripoti ya kila mwaka ya Sosaiti ya Mnara wa Mlinzi ilisema: “Kuhusiana na jambo hilo sisi tungedokeza kwamba wakati ule ule kulipoanza kuchapishwa kwa The Golden Age kulikuwa na mgomo wa wachapaji katika Greater New York. Siku chache tu kabla ya hapo, mkataba ulikuwa umefanywa wa kuchapisha The Golden Age na watu wale waliokuwa wakiziendesha mashine za uchapaji zinazotumia aina ya karatasi na jalada lililotumiwa katika gazeti hilo hawakufanya mgomo. Hivyo ilielekea kuwa kwamba hali ya jalada na karatasi ilikuwa imechaguliwa kwa uongozi wa kimungu, kwa sababu kama karatasi na jalada la aina nyingine lingalikuwa limechaguliwa haingaliwezekana hata kidogo kuanza kulichapa gazeti hilo. Hivyo Bwana alielekea kuwa alipendelea kichapo hicho kichanga sana.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki