Maelezo ya Chini
a Karibu miaka 150 baada ya njozi ya Ezekieli, mwanahistoria Mgiriki Herodotus, kwa kuona kwamba alama zilizokuwa juu ya waabudu wa mungu Hercules ziliwapa ulinzi, aliandika: “Ikiwa mtumwa wa mtu ye yote anakimbilia usalama [katika hekalu la Hercules], naye ametiwa alama takatifu juu yake, hivyo akijitoa kwa mungu huyo, ni kinyume cha sheria kumtia mikononi.”