Maelezo ya Chini
b Hivi karibuni yale maswali mawili yanayoulizwa wale wanoenda kubatizwa yalirahisishwa ili waweze kuyajibu wakiwa na ufahamu kamili kwa yale yanayohusika katika kuja katika uhusiano wa karibu pamoja na Mungu na tengenezo lake la kidunia.