Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Walawi 27:1-7 linataja umri wa miaka 60 linapozungumza juu ya watu mmoja mmoja ‘waliotolewa kama mchango’ hekaluni (kwa kufanya nadhiri) wawe wafanya kazi. Bei ya kukombolewa ilitofautiana kulingana na umri. Kwenye umri wa miaka 60 bei hiyo ilianguka sana, inaonekana kwa sababu mtu mzee hivyo alionwa kuwa asiyeweza kufanya kazi kwa nguvu kama mtu mwenye umri mdogo. The Encyclopedia Judaica inaongezea hivi: “Kulingana na Talmudi, uzee . . . unaanzia miaka 60.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki