Maelezo ya Chini
c Watafsiri wengi wa kisasa wanakosa kuangalia kitenzi cha Kiebrania kinachorudiwa hapa pamoja na maana ile ile yacho. Kwa hiyo badala ya “-chubua . -chubua“ (New World Translation; Revised Standard Version), wanatumia “-ponda .. -piga“ (The Jerusalem Bible; New International Version), “-ponda -uma“ (Todayʼs English Version), “-kanyaga-piga“ (Lamsa), au “-ponda . . . -otea“ (Knox).).