Maelezo ya Chini
a Kwa mwafaka pamoja na New World Translation of the Holy Scriptures katika utoaji wa maana iliyo sawasawa, Charles B. Williams anatafsiri hivi mstari huo: “Endeleeni kuomba . . . endeleeni kutafuta . . . endeleeni kubisha, na ninyi mtafunguliwa ule mlango.”—The New Testament: A Translation in the Language of the People.