Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Vigae vya vyungu vilivyovunjika vilitumiwa sana katika nyakati za Biblia kuwa mahali pa kuandikia pasipo pa bei kubwa. Inasema hivi International Standard Bible Encyclopedia (1986): “Vigae vya vyungu vilivyovunjika vingeweza kutumiwa hata na tabaka zilizo za umaskini kabisa, ambazo hazingeweza kupata kitu kinginecho chote cha kuandikia.” Haijulikani ni kwa kadiri gani vigae vya vyungu vilivyovunjika vilitumiwa na Waisraeli wa kale kuandika maandiko ya Biblia. Ingawa hivyo, jambo la kupendeza ni kwamba vigae vya vyungu vilivyovunjika vya karne ya saba W.K., vyenye maandiko ya Biblia, vimegunduliwa katika Misri, hiyo ikidokeza njia moja ambayo watu wa kikawaida waliweza kuwa na visehemu vya Biblia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki