Maelezo ya Chini
a Shetani aliongoza Hawa kuitikadi kwamba hangekufa hata kidogo katika mnofu. (Mwanzo 3:1-5) Kwa hiyo ni baadaye kwamba yeye alikuja kuanzisha lile fundisho bandia kwamba wanadamu wana nafsi isiyoweza kufa ambayo huendelea kuishi mwili ukiisha kufa.—Ona Mnara wa Mlinzi (Kiingereza), Septemba 15, 1957, ukurasa 575.