Maelezo ya Chini
a Vile Vita “vitakatifu” vya kidini (1096-1270), ile Vita ya Miaka Thelathini katika Ulaya (1618-48), vita vya ulimwengu viwili, na kuchinjwa kwa Wahindu na Waislamu wapatao 200,000 kuhusiana na ugawanyaji wa India (1948) ni vielelezo vichache tu vya hatia ya damu ambayo dini inayo.