Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kwa kweli, maneno ya Kiebrania kwa ‘wajengao’ (mstari 1) na “wana” (mstari 3) yafikiriwa yote mawili kuwa yametokana na shina linalomaanisha “kujenga.” Zaidi ya hilo, katika Kiebrania neno “nyumba” laweza kurejezea ama “mahali pa kukaa” au “jamaa.” (2 Samweli 7:11, 16; Mika 1:5) Hivyo, kujenga nyumba kwakamatanishwa na kukuza jamaa. Baraka ya Yehova yahitajiwa sana katika shughuli zote mbili.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki