Maelezo ya Chini
c “Wao huchinja mnyama jioni . . . Kwenye usikukati kila kikundi cha jamaa huila nyama . . . halafu kabla ya asubuhi huichoma nyama na mifupa iliyobaki . . . Wanachuo fulani wamedokeza kwamba dini ya Kisamaria huenda ikawa yafanana sana na dini ya kibiblia iliyokuwako kabla haijafanyizwa upya na dini ya Kiyahudi ya marabi.”—The Origins of the Seder.