Maelezo ya Chini
b Mwanachuo mmoja atoa kauli hii juu ya kwa nini divai iliongezwa: “[Sikukuu-Kupitwa] haikupaswa tena iwe tukio zito la kuwakusanya kila mwaka wanaume gumbaru; ingekuwa pindi ya shangwe ya msherehekeo wa kijamaa, ambamo unywaji divai ulipatikana kiasili.”—The Hebrew Passover—From the Earliest Times to A.D. 70, cha J. B. Segal.