Maelezo ya Chini
d Kwa kupendeza, neno la Kigiriki la kulia machozi kwa njia yenye kusikika (klaiʹo) hutumiwa juu ya Yesu katika pindi alipotabiri kuja kwa uharibifu wa Yerusalemu. Usimulizi wa Luka wasema hivi: “Alipofika karibu aliuona mji [Yerusalemu], akaulilia [machozi, NW].”—Luka 19:41.