Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Nomino ya Kigiriki iliyotafsiriwa “wenye mamlaka” (“wenye cheo cha juu,” NW) hy·pe·ro·kheʹ, yahusiana na kitenzi hy·pe·re’kho. Neno hili “za juu zaidi” katika “mamlaka za juu zaidi” limetolewa katika kitenzi kile kile cha Kigiriki, jambo ambalo laongezea uthibitisho wa kwamba mamlaka za juu zaidi ni mamlaka za kilimwengu. Fasiri ya Warumi 13:1 katika Union Version ya Kiswahili, “Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu,” si sahihi. Wanadamu walio ‘katika cheo cha juu zaidi’ si wakuu kabisa, ingawa huenda wakawa wenye cheo cha juu zaidi kwa wanadamu wengine.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki