Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Mnara wa Mlinzi la Agosti 15, 1934 (Kiingereza), lilitaja pia daraka la kondoo wengine na kusema hivi katika ukurasa wa 249, fungu la 31: “Jamii ya Yonadabu ni wale ambao ‘wanasikia’ ujumbe wa ukweli na ambao ni lazima waseme hivi kwa wale wanaowasikia: ‘Njoo! Naye asikiaye na aseme, Njoo! Naye mwenye kiu na aje; na yeye atakaye, na ayatwae maji ya uzima bure.’ (Ufu. 22:17) Wale wa jamii ya Yonadabu ni lazima waambatane na wale walio wa shirika la Yehu mfananishwa, yaani, wapakwa-mafuta, na watangaze ujumbe wa ufalme, hata ingawa wao si mashahidi wapakwa-mafuta wa Yehova.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki