Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Neno la Kigiriki linalotumiwa hapa, an.tiʹly.tron, halitokei mahali pengine popote katika Biblia. Lina uhusiano na neno ambalo Yesu alitumia kwa ukombozi (lyʹtron) katika Marko 10:45. Hata hivyo, The New International Dictionary of New Testament Theology inaonyesha kwamba an.tiʹly.tron ‘linakazia wazo la kubadilisha.’ Kwa kufaa, New World Translation inalitafsiri “ukombozi unaolingana.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki