Maelezo ya Chini
a Wakati Roy Ryan alipokuwa akirekodi mambo aliyoona maishani mwake, afya yake ikawa mbaya kwa ghafula. Alimaliza mwendo wake wa kidunia katika JulaiĀ 5, 1991, si muda mrefu baada ya kufanya zamu yake ya kawaida ya kuongoza ibada ya asubuhi huko Watchtower Farms.