Maelezo ya Chini
a Maneno mawili ya Kigiriki yaliyotumiwa hapa kuwa ‘mfanya agano’ hufasiriwa kihalisi kuwa “-a (yule) aliyejifanyia mwenyewe agano” au “-a (yule) anayefanya agano.”—The Kingdom Interlinear Translation of the Greek Scriptures, kilichotangazwa na Watchtower Bible and Tract Society of New York, Inc., na The Interlinear Greek-English New Testament, cha Dr. Alfred Marshall.