Maelezo ya Chini
a Wengine hufikiri kwamba maneno kwenye Yakobo 5:14, 15 huhusu uponyaji wa imani. Lakini muktadha huonyesha kwamba hapo Yakobo anaongea juu ya ugonjwa wa kiroho. (Yakobo 5:15b, 16, 19, 20) Yeye ashauri watu mmoja mmoja wanaokuwa wadhaifu katika imani wawaite wazee ili kupata msaada.