Maelezo ya Chini
a Wakati huo hakuna kitabu chochote ambacho kingeweza kuingizwa nchini bila leseni ya pekee, na hakuna mtunza vitabu yeyote ambaye angeweza kufungua safirisho lolote la vitabu bila idhini rasmi ya Mamlaka Takatifu (Baraza la Kuwahukumu Wazushi wa Kidini).