Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Yajapokuwa mabishano ya kifalsafa na uchunguzi wote wa wale wanaume wenye hekima wa Ugiriki wa kale, maandishi yao huonyesha kwamba hawakupata msingi wowote wa tumaini la kweli. Maprofesa J. R. S. Sterrett na Samuel Angus huonyesha hivi: “Hakuna fasihi yoyote iliyo na maombolezo yenye kusikitisha zaidi juu ya mambo ya kuhuzunisha maishani, kupitilia mbali kwa upendo, udanganyifu wa tuamini, na ukatili wa kifo.”—Funk and Wagnalls New “Standard” Bible Dictionary, 1936, ukurasa 313.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki