Maelezo ya Chini
b Mwanahistoria Myahudi Yosefo, alipokuwa akitoa habari za ukoo wake mwenyewe, huonyesha waziwazi kwamba rekodi hizo zilipatikana kabla ya 70 W.K. Yaonekana rekodi ziliharibiwa pamoja na jiji la Yerusalemu, ikifanya madai yote ya Umesiya yaliyofuata yasiweze kuthibitishwa.