Maelezo ya Chini
b Kuna vituo, hospitali, na programu nyingine nyingi za kitiba zinazoweza kuandaa msaada. Mnara wa Mlinzi halipendekezi matibabu yoyote mahususi. Ni lazima mtu awe mwangalifu ili asije akajihusisha na utendaji mbalimbali ambao ungeridhiana na kanuni za Kimaandiko. Hata hivyo, hatimaye kila mmoja atalazimika kujiamulia mwenyewe ni aina gani ya matibabu inayohitajiwa.