Maelezo ya Chini
a “Neno family hutokana na neno la [Kilatini] familia, hapo awali [ikitia ndani] watumishi na watumwa wa nyumba kubwa, kisha nyumba yenyewe pamoja na bwana mkubwa, bibi, watoto—na wafanyakazi.”—Origins—A Short Etymological Dictionary of Modern English, ya Eric Partridge.