Maelezo ya Chini
a Kuhusu eu·seʹbei·a, William Barclay asema hivi: “Ni sehemu ya seb- [mzizi] ya neno ambalo humaanisha staha au ibada. Eu ni neno la Kigiriki kwa neno faa; kwa hiyo, eusebeia ni ibada, staha inayotolewa ifaavyo na kwa haki.”—New Testament Words.