Maelezo ya Chini
a Hilo lilieleweshwa wazi baadaye wakati Shetani aliposema hivi juu ya Ayubu mtumishi wa Mungu: “Ngozi kwa ngozi, naam, yote aliyo nayo mtu atayatoa kwa ajili ya uhai wake. Lakini sasa nyosha mkono wako, uuguse mfupa wake na nyama yake, naye atakukufuru mbele za uso wako.”—Ayubu 2:4, 5.