Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

e Wengi huona katika simulizi la Luka badiliko la mkazo baada ya Luka 21:24. Dakt. Leon Morris asema: “Yesu aendelea kusema juu ya nyakati za Wasio Wayahudi. . . . Kulingana na maoni ya wasomi walio wengi fikira yaelekezwa sasa kwenye kuja kwa Mwana wa Adamu.” Profesa R. Ginns aandika hivi: “Kuja kwa Mwana wa Adamu—(Mt 24:29-31; Mk 13:24-27). Kutajwa kwa ‘nyakati za Wasio Wayahudi’ kwaandaa utangulizi kwa kichwa hicho; sasa maoni ya [Luka] yanafikia muda mrefu baada ya kuharibiwa kwa Yerusalemu kuingia katika wakati ujao.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki