Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

f Profesa Walter L. Liefeld aandika hivi: “Kwa hakika yawezekana kuona kwamba tabiri za Yesu zilitia ndani sehemu mbili: (1) matukio ya A.D. 70 yaliyohusisha hekalu na (2) yale ya muda mrefu baadaye katika wakati ujao, yanayoelezwa katika maneno ya kiapokalipsi [ufunuo] zaidi.” Ufafanuzi uliohaririwa na J. R. Dummelow wasema hivi: “Mengi ya magumu mazito zaidi ya hotuba hiyo kuu hutoweka inapong’amuliwa kwamba Bwana yetu hakurejezea ndani yayo tukio moja bali mawili, na kwamba lile la kwanza lilifananisha lile la pili. . . . [Luka] 21:24 hasa, linalosema juu ya ‘nyakati za Wasio Wayahudi,’ . . . laweka kipindi cha katikati kisicho dhahiri kati ya anguko la Yerusalemu na mwisho wa ulimwengu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki