Maelezo ya Chini
a Fundisho katika Dini ya Katoliki, tofauti na imani sahili, husemwa kuwa kweli iliyofanyizwa kwa uzito ama na baraza la maaskofu ama na “mamlaka ya kufundisha [ya papa] isiyokosea.” Miongoni mwa mafundisho yaliyofasiliwa hivyo na Kanisa Katoliki, ya karibuni zaidi ni lile la Kuchukuliwa Mbinguni kwa Mariamu.