Maelezo ya Chini
c Yeye aandika: “Matukio hayo kama miujiza hutendekaje? . . . Mimi hutumia njia ya kuwekea mikono, kuponya kwa imani au kuponya kiroho. Si njia ya kifumbo hata kidogo, bali ni njia inayoeleweka wazi . . . Kila mtu ana mkondo wa nishati au mviringo unaozingira na kupenya mwili halisi. Mkondo huo wa nishati wahusiana sana na afya. . . . Hisi za Juu Sana za Utambuzi ni aina nyingine ya ‘kuona’ ambayo waona picha akilini mwako bila kutumia mwono wako wa kawaida. Si kitu cha kuwaziwa. Nyakati nyingine hurejezewa kuwa nguvu ya kuona yasiyoweza kuonekana.”