Maelezo ya Chini
b Kundi kubwa lililochangamana la wasio Waisraeli lilikuwapo Sheria ilipoanzishwa katika 1513 K.W.K., lakini wazaliwa wao wa kwanza hawakutiwa ndani wakati Walawi walichukuliwa kwa kubadilishana na wazaliwa wa kwanza wa Israeli. (Ona fungu la 8.) Hivyo, Walawi hawakuchukuliwa kwa kubadilishana na wazaliwa wa kwanza wa hawa wasio Waisraeli.