Maelezo ya Chini
a Marejezo ya Talmud ya kushambulia Yesu yamekubaliwa kuwa kweli na wasomi fulani pekee. Kwa upande mwingine, marejezo ya Tacitus, Suetonius, Pliny the Younger, na angaa mara moja na Flavius Josephus kuhusu Yesu, kwa ujumla yanakubaliwa kuwa uthibitisho wa ukweli wa historia ya kuwapo kwa Yesu.