Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Yafaa kuona kwamba kabla ya hilo, Yakobo alikuwa amechukua hatua thabiti ya kulinda familia yake kutoka kwenye uvutano wa Wakanaani. Alijenga madhabahu, bila shaka ya muundo uliofanya awe tofauti na majirani wake Wakanaani. (Mwanzo 33:20; Kutoka 20:24, 25) Zaidi ya hayo, alipiga hema lake nje ya mji wa Shekemu naye akawa na chanzo chake mwenyewe cha maji. (Mwanzo 33:18; Yohana 4:6, 12) Hivyo Dina angaliweza kujua vizuri sana juu ya tamaa ya Yakobo kwamba asishirikiane na Wakanaani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki