Maelezo ya Chini
b Maandishi ya Wamasora katika pambizo za kando yanaitwa Masora Ndogo. Maandishi yaliyo katika pambizo za juu na chini yanaitwa Masora Kubwa. Orodha zilizowekwa penginepo ndani ya hati zinaitwa Masora ya Mwisho.