Maelezo ya Chini
e Ile Kodeksi ya Cairo (895 W.K.), ambayo ina majina ya manabii wa kwanza na wa mwisho pekee, inatoa kielelezo cha miundo ya Musa. Zile kodeksi za Aleppo (karibu 930 W.K.) na Leningrad (1008 W.K.) zinatumika kuwa vielelezo vya miundo ya Haruni Ben Asheri.