Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Katika usemi “kizazi hiki,” namna ya kiwakilishi kionyeshi houʹtos yapatana vema na neno la Kiswahili “hiki.” Laweza kurejezea kitu kilichopo au kilicho mbele ya msemaji. Lakini laweza pia kuwa na maana nyinginezo. Kamusi Exegetical Dictionary of the New Testament (1991) yasema: “Neno [houʹtos] laonyesha jambo la hakika la wakati uo huo. Hivyo [aion houʹtos] ni ‘ulimwengu ulioko sasa’ . . . na [geneaʹ haute] ni ‘kizazi kinachoishi sasa’ (k.m., Mt. 12:41, kielezi-chini, 45; 24:34; NW).” Daktari George B. Winer aandika: “Kiwakilishi [houʹtos] nyakati nyingine hakirejezei nomino iliyo karibu zaidi, bali nomino iliyo mbali zaidi, ambayo, kwa sababu ndiyo jambo kuu la mazungumzo, ilikuwa karibu zaidi akilini, kile kilichopo karibu zaidi katika mawazo ya mwandikaji.”—A Grammar of the Idiom of the New Testament, toleo la 7, 1897.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki