Maelezo ya Chini
a Chupa ya ngozi ilikuwa kiwekeo cha ngozi ya mnyama kilichotumiwa kuwekea vitu kama maji, maziwa, divai, siagi, na jibini. Chupa za kale zilitofautiana sana kwa ukubwa na muundo, nyingine zikiwa mifuko ya ngozi na nyingine zikiwa viwekeo vyenye shingo nyembamba na vifuniko.