Maelezo ya Chini
a Siku ya Kiyahudi ilianza jioni. Kulingana na kalenda yetu, hiyo Nisani 14 ilianza mwanzo wa Alhamisi jioni, Machi 31, hadi mshuko-jua wa Ijumaa jioni, Aprili 1. Ukumbusho huo ulianzishwa Alhamisi jioni, na kifo cha Yesu kikatokea Ijumaa alasiri ya siku iyo hiyo ya Kiyahudi. Alifufuliwa siku ya tatu, mapema Jumapili asubuhi.