Maelezo ya Chini
c Ona Mnara wa Mlinzi, Novemba 1 na 15, Desemba 1, 1962 (Kiingereza); Novemba 1, 1990; Februari 1, 1993; Julai 1, 1994.
Kwa kupendeza, katika kufafanua Warumi sura ya 13, Profesa F. F. Bruce aandika: “Ni wazi katika muktadha wa [Warumi 13], kama ilivyo na muktadha wa ujumla wa maandiko ya kimitume, kwamba serikali yaweza kwa halali kudai utii kutokana tu na viwango vya makusudi ambayo hiyo serikali imewekewa kimungu—hasa, serikali haiwezi kukinzwa tu, bali ni lazima ikinzwe inapodai utii unaopaswa kuwa wa Mungu pekee.”