Maelezo ya Chini
a Bila shaka, bado hiyo ni idadi ndogo sana kwa kulinganishwa na mifumo ya kisheria ya mataifa ya kisasa. Kwa kielelezo, kufikia mapema miaka ya 1990, sheria za serikali za Marekani zilijaza kurasa zaidi ya 125,000, maelfu ya sheria mpya yakiendelea kuongezwa kila mwaka.