Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Ni Mafarisayo hasa waliotokeza namna ya Dini ya Kiyahudi iliyoko leo, kwa hiyo haishangazi kwamba Dini ya Kiyahudi bado hutafuta njia za kukiuka vizuizi vyavyo vingi vilivyoongezwa vya Sabato. Kwa kielelezo, mgeni kwenye hospitali ya Kanisa Othodoksi kwenye siku ya Sabato aweza kuona kwamba lifti husimama yenyewe kwenye kila orofa ili abiria waepuke kufanya “kazi” yenye dhambi ya kubonyeza kibonyezo cha lifti. Madaktari fulani Wayahudi huandika mapendekezo yao ya madawa kwa wino utakaotoweka baada ya siku chache. Kwa nini? Mishnah huhesabu kuandika kuwa “kazi,” lakini hiyo hufafanua “kuandika” kuwa kuacha alama ya kudumu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki