Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Mmojawapo utendaji-kazi mkubwa wa roho ya Mungu juu ya Wakristo wa karne ya kwanza ulikuwa kuwatia-mafuta kuwa wana wa kiroho walioasilishwa wa Mungu na ndugu za Yesu. (2 Wakorintho 1:21, 22) Hilo wamewekewa wale wanafunzi wa Kristo 144,000 tu. (Ufunuo 14:1, 3) Leo Wakristo walio wengi wamepewa kwa fadhili tumaini la uhai udumuo milele kwenye dunia iliyo paradiso. Ingawa hawatiwi mafuta, wao pia wanapokea msaada na faraja ya roho takatifu ya Mungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki